Hadi sasa madiwani waliohama CHADEMA ni 60

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,303
WAKATI vuguvugu la madiwani kujiuzulu nyadhifa zao likiendelea kuchukua sura mpya siku hadi siku, imebainika kwamba tangu Januari mwaka juzi hadi sasa, kata 89 ziliondokewa na madiwani wake kwa sababu mbalimbali, ikiwamo vifo, kutenguliwa mahakamani na kujiuzulu.

Uchunguzi wa gazeti hili umebaini kuwa katika idadi hiyo, madiwani 60 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wamejiuzulu nyadhifa zao na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Madiwani hao walijiuzulu na kufuata uanachama wa CCM kwa hoja kwamba wanaunga mkono utendaji kazi wa Rais Dk. John Magufuli.

Mbali na idadi hiyo, madiwani watano wa Chadema na mmoja wa CCM walitenguliwa na mahakama katika nyadhifa zao.

Katika orodha hiyo, pia kata 23 zilibaki wazi baada ya madiwani waliokuwa wakiziongoza kufariki dunia.

Ndani ya orodha ya madiwani 23 waliofariki dunia, 19 walikuwa wa CCM, wawili Chadema, mmoja ACT-Wazalendo na mmoja CUF.

Mkuu wa Kitengo cha Habari cha Tume ya Uchaguzi (NEC), Clarence Nanyaro, ameliambia gazeti hili kwamba hadi Februari 17, mwaka huu, kata 82 zilishafanya uchaguzi kuziba nafasi zilizoachwa wazi.

Chanzo: Mtanzania
 
Sure na uchumi pia umeendelea kupaa na viwanda vingi zaidi vimejengwa
 
Viwanda zaidi ya laki 2 vimejengwa. Wananchi wana furaha kuliko wale wa Scandinavia. Mishahara imeongezeka mara dufu kuliko awamu zooote. Ajira zimemwagwa. Haki za binadamu zinazingatiwa mnoo. Vyombo vya habari vina uhuru wa kukosoa. Hakuna kikosi maalumu cha watu "wasiojulikana". Miji ni misafi mnoo especially jiji la mtoto mpendwa. Kidumu chama cha wenyewe!!![emoji123][emoji123][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
Wonders will never end!!!
 
Wanaunga mkono jitahada za kuua uchumi
 
Tena ukiwaletea mada kama hizi wenzio wanaruka hasa viunzi[emoji3]
Hali ya hewa imeelekea kuhusu uchumi[emoji3]na viwanda[emoji3]

Hawana jibu la ziada zaidi ya hayo[emoji3]
 
Tena kila mtakapo zidi kuikashifu CCM,
Tutachomoa kiongozi mmoja wa Upinzani na kuhamia CCM

Nimenukuu kutoka kwa
Katibu Mwenezi ccm.
Mh,Polepole[emoji1321]
 
Wambie chama cha manunuzi wakimaliza madiwani wanunue na wenyeviti wajipigie hela maana si kwa ugumu huu wa maisha!! Kuna mtu huwa anaona sifa kwenda na maving'ora kijjn kwao...sijui walisemwaga sana enzi hizo kuwa mitt haina akili!!??? Lkn lisemwalo.....
 
WAKATI vuguvugu la madiwani kujiuzulu nyadhifa zao likiendelea kuchukua sura mpya siku hadi siku, imebainika kwamba tangu Januari mwaka juzi hadi sasa, kata 89 ziliondokewa na madiwani wake kwa sababu mbalimbali, ikiwamo vifo, kutenguliwa mahakamani na kujiuzulu.

Uchunguzi wa gazeti hili umebaini kuwa katika idadi hiyo, madiwani 60 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wamejiuzulu nyadhifa zao na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Madiwani hao walijiuzulu na kufuata uanachama wa CCM kwa hoja kwamba wanaunga mkono utendaji kazi wa Rais Dk. John Magufuli.

Mbali na idadi hiyo, madiwani watano wa Chadema na mmoja wa CCM walitenguliwa na mahakama katika nyadhifa zao.

Katika orodha hiyo, pia kata 23 zilibaki wazi baada ya madiwani waliokuwa wakiziongoza kufariki dunia.

Ndani ya orodha ya madiwani 23 waliofariki dunia, 19 walikuwa wa CCM, wawili Chadema, mmoja ACT-Wazalendo na mmoja CUF.

Mkuu wa Kitengo cha Habari cha Tume ya Uchaguzi (NEC), Clarence Nanyaro, ameliambia gazeti hili kwamba hadi Februari 17, mwaka huu, kata 82 zilishafanya uchaguzi kuziba nafasi zilizoachwa wazi.

Chanzo: Mtanzania
Uzuri ni kwamba majina yao yamerekodiwa kwa ajili ya kumbukumbu ya vizazi vijavyo .
 
Viwanda zaidi ya laki 2 vimejengwa. Wananchi wana furaha kuliko wale wa Scandinavia. Mishahara imeongezeka mara dufu kuliko awamu zooote. Ajira zimemwagwa. Haki za binadamu zinazingatiwa mnoo. Vyombo vya habari vina uhuru wa kukosoa. Hakuna kikosi maalumu cha watu "wasiojulikana". Miji ni misafi mnoo especially jiji la mtoto mpendwa. Kidumu chama cha wenyewe!!![emoji123][emoji123][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
Wonders will never end!!!
Kwahiyo tuko mbinguni mkuu,hali bin haki! Tutasubiri sana.
 
Back
Top Bottom