Mtalingolo
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 2,181
- 410
Nimeingia bar na elfu 70,nimeamka na sh 150!yaan nmechukia kabisa
hahahahaaaaaa....umenifurahsha mkuu!....hadi nimechukia kabisa!nimetoka mwenge naenda gongo la mboto kufka banana kunafolen nikachukia na kuamua kurud mwenge
kwiiih kwiih...umenfurahisha mkuu,hadi nimechukia kabisanilikuwa najua huu ni mwezi januari kumbe novemba! nimechukia kabisa nimebadili kalenda yangu na sasa ni januari 2013