Hadi leo tarehe 23/7/2017 mshahara bado!

Hadi leo tarehe 23/7/2017 mshahara bado!

Kwani leo ni mwisho wa mwezi?

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Maana yake ni siku ya mwisho wa mwezi ambapo unapaswa ulipwe mshahara kwa kazi uliyofanywa kwa nwezi mzima.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hivi humj mnaporusha mada huwa mnakuwa mmeshajielimsha? Mtu anayeuliza mshahara lei jumapili huyo ana akili sawasawa kweli?

Post sent using JamiiForums mobile app
 
hivi wewe si punguani kweli wewe, unajua pana bank leo jumapili wanafungua? unaishi wapi wewe
Punguani wewe usiyeelewa mada ilisema mpaka leo mshahara hakuna. Inamaana mada ililenga kusema kuhusu kuandaa mishahara leo....na si kulipa mishahara leo...

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom