Hadi kieleweke

hahahaaaaaaaaaaa,hatari sana hii hapo mmoja kakongomeka kiroba na mwingine kapigilia kitu cha rchuga

Hujakosea kabisa bysange japo wapenzi wa rchunga watamind sana
 
Last edited by a moderator:
hahahahaahhahahaha!!!

nachuna brekiii huyo hadi naakikisha yupo chini
 
Sasa sijui akianguka atasema ajali kazini? au kajitakia tu na mbwembwe zake hizo mi ndo ningekuwa dreva nashitua kidogo kuondoka.
 
Sasa sijui akianguka atasema ajali kazini? au kajitakia tu na mbwembwe zake hizo mi ndo ningekuwa dreva nashitua kidogo kuondoka.

Hiyo picha ni afisa wa usalama barabarani ckumbuki ni wa nchigani alimsimamisha dereva wa basi, dereva alikaidi kusimama ndipo askari huyo alipo amua kurukia gari kwa mbeele huku likiwa katika mwendo kassi.
 
Hiyo picha ni afisa wa usalama barabarani ckumbuki ni wa nchi gani alimsimamisha dereva wa basi, dereva alikaidi kusimama ndipo askari huyo alipo amua kurukia gari kwa mbeele huku likiwa katika mwendo kassi.

Ni kweli, imetokea kama si Ufilipino basi Indonesia au nchi jirani na maeneo hayo...
 
yaani nipo room pekeangu hapa nacheka kama mwehu yan kwakwalwakwakwa
hii picha inanichekesha hukuuuuu duh..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…