huyu kaka namjua sana,ana tabia chafu na anamnyanyasa sana mke wake tena hata kumpiga.licha ya hayo anatabia chafu na kulewa kupita kias pia.mengne ngoja niache nisije pigwa ban.i wish tabia yake ingekuwa nzur kama kipaj chake
Katika watangazaji wote wa Radio nilio wahi kuwasikia Fredwaa alikuwa anatisha,hivi kwa nini wasifanye lolote lile abakie pale RFA/sasa kama kaondoka ndio hivyo tena inatubidi tuondoke kutafuta radio zingine
huyu kaka namjua sana,ana tabia chafu na anamnyanyasa sana mke wake tena hata kumpiga.licha ya hayo anatabia chafu na kulewa kupita kias pia.mengne ngoja niache nisije pigwa ban.
i wish tabia yake ingekuwa nzur kama kipaj chake
eeba nae,sasa inakuwaje tena manake yule ndiye kinara wa RFA
sasa kuna yule mkongo zuberi ndiye wanamtumia kwa kila kitu
hawezi kukataa kwa sababu akifukuzwa inabidi arudi kwao kongo
RFA na Startv kwa ujumla itaendelea kuondokewa na watangazaji coz jamaa hua hawajali maslai ya watumishi.watu wanakaa ata miezi minne ndo wanalipwa mshahara wa mwezi m1.watangazaji wengi walobak ni wale walokua maMC na maDJ ambao co professionals.