Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,578
- 28,701
This is personality attack...usually poor minded people discuss personality, great minded people discuss issueshuyu kaka namjua sana,ana tabia chafu na anamnyanyasa sana mke wake tena hata kumpiga.licha ya hayo anatabia chafu na kulewa kupita kias pia.mengne ngoja niache nisije pigwa ban.
i wish tabia yake ingekuwa nzur kama kipaj chake
Khaa mbona uncle sam nae
ameacha na mtoto wa mama sabuni yeye ndo alianza kuondoka kabla ya
fredwaa na uncle sam.
Mkuu ni kweli ANKO SAM na MTOTO wa MAMA SABUNI naye kahama??? dah mbona RFA ndio imekufa hivyo sasa??Khaa mbona uncle sam nae ameacha na mtoto wa mama sabuni yeye ndo alianza kuondoka kabla ya fredwaa na uncle sam.
katika watu
nilioamini watadumu milele radio free ni fredwah. Nimeshtuka kumsikia
leo akitangaza times fm.
Kweli wameacha ila sijajua sehemu watakazoenda kufanyia kazi,hebu fuatilia kama utawasikia RFA.Mkuu ni kweli ANKO SAM na MTOTO wa MAMA SABUNI naye kahama??? dah mbona RFA ndio imekufa hivyo sasa??
Kwa hiyo anatangaza kipindi kama kile kile na muda ule ule mkuu?
hamna pale timez anapga kipind cha sa1 had sa3. Ktk kipind hcho wapo w2 watatu kwahyo sidhan kama atapata uhuru wa kuweka mbwembwe zake kama alivokua rfa.
Jamaa inasemekana hakulipwa mshahara wa miezi mi4,kaondoka yeye na mke wake Rahabu fred zaid ya wiki mbili zilizopita
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Jamaa anajua kuvutia watu na majonjo yake,kama kipindi cha vodacom asubuhi ipo sijui kama huyo mwingine ataweza kumfikia jamaa
2tazikumbuka sana sindano 5 za moto.. Afu na vichekesho cz jamaa ndo alikua m2 wa kwnza kuintroduce vichekesho kabla ya masage za kufowadiana
...lazima Magamba Di la halo atakuwa anawazingua!..Aisee RFA kuna nini wajameni?