Tang Zhou
JF-Expert Member
- Mar 14, 2018
- 1,206
- 2,587
Ukitazama Ziara ya Rais Nyerere aliyofanya UK mwaka 1975, akipokelewa na Queen Elizabeth mwenyewe, unaweza kuona ni kwa kiasi gani tumeserereka kama taifa kuelekea shimoni katika aina ya Marais ambao tumekuja kuwa nao baada ya Nyerere. Hawana mvuto wala hadhi yoyote kimataifa - labda tunaweza kumpa heshima kidogo Rais Kikwete.
Lakini hawa wengine wanaojiita "Mawe", wanaweza kujipima na kuona kama kweli wangekuwa hata na hadhi ya kuwa Wakuu wa Wilaya tukiacha Urais - hadhi ya Ofisi ya Rais wa nchi hii imetetereka mno tangu kuondoka Nyerere, I mean Nyerere aliondoka na calibre ya Urais, aliondoka na Urais akatuachia "Mawe"....Pima hilo kwa hadhi aliyopewa Nyerere na Ufalme wa Uingereza mwaka 1975...hivi kweli hilo laweza kumtokea Jiwe? Atawaeleza nini Wazungu wale, wafalme hata wakamsikiliza?