asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,039
mkuu kuna ukweli fulani hivi , kuna jirani yangu hapa mwanamke wake amemuanzishia timbwili jamaa anataka sikuku waendeni jiji fulani mwanamke kagoma anataka aende mkoa mwingine.wamenuniana kila mtu ameenda njia yake , kumbe ilikuwa lengo la mwanamke ili amfuate mwanaume wake wa moyoni huko mkoa mwingine. jamaa bila kujijua kaingia kwenye mtego wamechuniana wiki nzima , wamerudi wakapatana siku hiyo hiyo kwani malengo ya mwanamke yalitimia.