Polisi hakuna cha taharuki waliyosababisha wa vijana wa Arusha, a.k.a WACHOKONOZI, bali sema hamtaki any posts ambazo zinamkosoa Rais Samia.
Maudhui yao yalikuwa ni kufafanua/kutoa maoni wanavyoona hali ya kisiasa/kijamii ilivyo Tanzania.
To crown it all, they were using soft language na siyo ya matusi, uongo, walikuwa wanatoa maoni yao on the issues they think are worthy of informing the public!
Had it not been for the compromised judiciary, hakuna kesi mgelishinda!