Hacking emails

GP

JF-Expert Member
Feb 5, 2009
2,049
160
hi everyone here in JF!
jamani hivi ukitaka kujua password ya eail iliyokuja kwenye inbox yako unafanyaje?
mwenye kujua jamani ani-PM, coz najua sio vyema kuanikwa hadharani, mi ninauliza kwakua there is some one is blackmailing me through email.
plz, nawasilisha.
 
hi everyone here in JF!
jamani hivi ukitaka kujua password ya e-mail iliyokuja kwenye inbox yako unafanyaje?
mwenye kujua jamani ani-PM, coz najua sio vyema kuanikwa hadharani, mi ninauliza kwakua there is some one is blackmailing me through email.
plz, nawasilisha.
Mkuu hapa hatufundishi watu kufanya uhalifu.Ni vigumu sana kuweza kujua password ya mtu kwa kutumia njia unayotaka wewe.Ukishajua password yake unataka umfanyie nini?
 
Mkuu hapa hatufundishi watu kufanya uhalifu.Ni vigumu sana kuweza kujua password ya mtu kwa kutumia njia unayotaka wewe.Ukishajua password yake unataka umfanyie nini?

ndo maana mkuu nimesea kabisa nafahamu sio vyema, lakini kuna mwizi wangu namfukuzia unaona mkuu, sasa ndo nataka nimnyake
narudia tena kama unajua plz ni-PM tu
 
Mkuu ebu tuambie huyo mwizi wako anatumia account gani? yahoo/gmail au hotmail?
 
Hakuna njia ya "kuhack" email, kuna either kuotea, kumdanganya mtu akupe password yake (phishing) au kujaribu ile feature ya forgot my password halafu ujibu zile secret questions.
 
Last edited:
*** This is a really dumb question ***
You can be smart and look for ways your own way but never expect someone to waste his time to answer such a question...
small hint would be
*** google your question and i'm sure you'll find millions of responds from there ****

cheers
 
Uwezi kumpata labda utumie fedha nyingi kwenda kwenye domain yake kama ilivyo fanya kikwete kwenye zeutamu kwasababu kuna sheria za cyber crime jitaidi kugesi au tafuta software ambozo zinaweza kujua password ya mtu akiwa mbali na hata location na saa iliyo tuma hiyo email ila kwamtu wakawaida ya nini yote. Na ndio maana tunataka kuamia kwenye open source kwakutumia OBUNTU operating system operating system is aprogram that manage the resuorce of the computer and provide undestanding between the user and the hardware or 'Interface' nashukuru kwa hilo
 
hi everyone here in JF!
jamani hivi ukitaka kujua password ya eail iliyokuja kwenye inbox yako unafanyaje?
mwenye kujua jamani ani-PM, coz najua sio vyema kuanikwa hadharani, mi ninauliza kwakua there is some one is blackmailing me through email.
plz, nawasilisha.

Tutajuaje hiyo story ni kisingizio tu cha kupewa njia ya kuhack email za watu? Na je tunauhakika gani ukishajua kufanya hivyo utaishia tu kwa huyo "blackmailer" wako?
 
Uwezi kumpata labda utumie fedha nyingi kwenda kwenye domain yake kama ilivyo fanya kikwete kwenye zeutamu kwasababu kuna sheria za cyber crime jitaidi kugesi au tafuta software ambozo zinaweza kujua password ya mtu akiwa mbali na hata location na saa iliyo tuma hiyo email ila kwamtu wakawaida ya nini yote. Na ndio maana tunataka kuamia kwenye open source kwakutumia OBUNTU operating system operating system is aprogram that manage the resuorce of the computer and provide undestanding between the user and the hardware or 'Interface' nashukuru kwa hilo

Lol what a n00b
I never knew there was an open source that deals with emails...
*** what exactly does open source has to do with hacking email? ****

Na ndio maana tunataka kuamia kwenye open source kwakutumia OBUNTU operating system operating system

cybercrime?

kuna sheria za cyber crime

Can you mention one of them that has to do with emails?

Uwezi kumpata labda utumie fedha nyingi kwenda kwenye domain yake kama ilivyo fanya kikwete kwenye zeutamu

Sheeees now this is interesting. most people would probably use hotmails, yahoo, aol e.t.c *** big servers = untracable ***

*** i only have one advice for you, never talk about a thing that you have no knowledge about ***

And for the guy who wants to hack in the email, just block the email or if the blackmailer has one very strong point then just follow what he has to offer, or if its too personal just report to the nearby police station.

*** Hacking emails ar very simple, just be smart and doit on your own style, there is never a 123 steps on how to ***

cheers
 
Back
Top Bottom