haina uhusiano na chatu ila iliitwa hivyo sababu mwanzilishi wake Von Rossum alitaka jina la hio language liwe fupi na la kipekee, wakati anasoma vijitabu vya vichekesho vinavyoitwa Monty Python Flying Circus akaona jina "Python" linafaa.
No relationship mtengenezaji wa hii language aliita python kutokana na kipindi fulan Cha comedy kulikuwa Kuna mfurahisha sana he decided to call it Python