Hacker mwingine aingia JF (nadhani)

Given Edward

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2011
Posts
850
Reaction score
203
Ok ni kwamba hapo kabla ilishatangazwa kwamba kuna hacker aliingia JF na visitor message hii hapa:


Ilikuja kujulikana kwamba ukijibu tu hii message....imekula kwako, yaani utakuwa HACKED!Baada ya kubainika huyu mtu alipigwa Ban immediately. Sasa leo tena tarehe 1 July 2011 nimekuta visitor message nyingine hii:


Nauhakika kwamba sio mimi pekee niliyetumiwa hii visitor message. BEWARE PEOPLE! Unapoona hii message USIJIBU! Moderators please shughulikieni hii kitu kabla madhara hayajawa makubwa. Asanteni wakuu.
 
I hate spammers aha!!! na vipi mbona nikiangalia pembeni sioni thanks za mtu yoyote ?!! au ni browser yangu
 
Wasanii kama hao una wadd tu kwenye messnger alafu unamchora mi nimemuadd nikacht naye ananiuliza niko wapi nikamwambia Pakistan Abbotalobad.

Akaniuliza nafanya nini nikamwamba nilikuwa director of communication wa OSama sasa sina kazi. Akapotea naona kaamua uniweka kwenye igonore list

Nimemunadikia offilne mesage . kwamba aliema distance and race does matter what happened? Is our friendship dead?


NB
usifanye kosa kumuadd kwenye email adress ya ukweli teh teh
 
Naomba ladh km ntawatoa nje ya mada, et spammer ndo nn? Naruhusu kuitwa mjinga kwa sekunde, ili niwe mjuaji in a life time.
 
Wahuni sana hawa. Mi nilivyopata tu hii message nikasema moyoni. " I knew I was cute!"...kumbe lo!
 
no effect, jibu tu... unaogopa sperm, hacker hawaji kwa staili hiyo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…