Hacker alivyoifanya website ya prof j

Status
Not open for further replies.
Mkuu@Srebrina vipi kuhusu kuhack JF?

unaweza kuhack hata website ya FBI au CIA cha muhimu kufahamu ni kwamba security ya web yao ikoje na wakati una hack program zao za ku track ulipo zina scan dakika ngapi ili kujua mahali ulipo maana unaweza kujua nchi lakini usijue eneo
 
Itabidi ni hack bongo government website zao by Monday
 
kuna watu wanaitwa HACTIVISTS. Hawa wanahack kwa malengo, kundi kama anonymous hackers.
 
nenda kawaulize alichokifanya dracula ktk tcu website mwaka jana na hakukuwepo response huyu jamaa ni noma 1st year wa mwaka huu walio vyuon wana mjua

UKIFANYA KI2 EXTRA ORDINARY WATAKUKAMATA LKN BAADAE WATAKUAJILI VINGINEVYO WATAENDELEA KUUMIZWA

wakuajili ufanye nini? hacking is no business it is just a reminder that computer systems are not hundred per cent secure, we need to think like hackers in order to prevent hackers not to hire hackers.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…