Nilizifuta, zilikuwa zinajaza disk space. ila hilo sio tatizo website haikuwa on use bado hivyo i can remake it. issue yangu tu ni huyo hacker(s). Any news of him/her/them au exploits zake and how to stay protected maana naona website nyingi sana from google search result zipo infected.hujafanya backup? zipo autobackup kibao nyengine unatumiwa hadi kwenye email. ushauri tu hakikisha una plugin ya autobackup.
mi nimemcheki nimeishia twitter, ni hacker wa tunisia ila ameshakamatwa, am not sure ni vipi tena.Nilizifuta, zilikuwa zinajaza disk space. ila hilo sio tatizo website haikuwa on use bado hivyo i can remake it. issue yangu tu ni huyo hacker(s). Any news of him/her/them au exploits zake and how to stay protected maana naona website nyingi sana from google search result zipo infected.
Site zote zinazotengenezwa Kwa open source na kutumia themes na plugin za free zipo kwenye risk kubwa ya kubehacked na mahackers, kama upo serious njo tu kutengenezewa website ambayo ni responsive na haita kuwa na matatizo ya hao mahackers.Nilizifuta, zilikuwa zinajaza disk space. ila hilo sio tatizo website haikuwa on use bado hivyo i can remake it. issue yangu tu ni huyo hacker(s). Any news of him/her/them au exploits zake and how to stay protected maana naona website nyingi sana from google search result zipo infected.
kapost hio site yako uliotengeneza kwenye page yao ya twitter halafu waambie hawawezi kuihack,Site zote zinazotengenezwa Kwa open source na kutumia themes na plugin za free zipo kwenye risk kubwa ya kubehacked na mahackers, kama upo serious njo tu kutengenezewa website ambayo ni responsive na haita kuwa na matatizo ya hao mahackers.
Kinachofanyika ni Vulnerability + Search engine, ndio maana unakuta hata site zakijinga bongo nazo wanazipitia.wakicheki tu wanajua list ya site ambazo zipo kwenye risk then wana invade, ila hawezi hacker wa fallaga au makundi mengine aitarget site ya bongo direct tu, ni ngumu.kapost hio site yako uliotengeneza kwenye page yao ya twitter halafu waambie hawawezi kuihack,
watu wanahack site za israel na marekani ambao wapo juu kwenye security, sembuse bongo ambapo watu hata server hawana tuna resale tu server za marekani na sie kujifanya tuna zetu.
sijamuuliza kaka deogan theme ya site yake ni nini, sometime kwenye siasa za ulimwengu huu unaweza eka post fulani ya kumchukiza mtu ndio ikawa ni chanzo.Kinachofanyika ni Vulnerability + Search engine, ndio maana unakuta hata site zakijinga bongo nazo wanazipitia.wakicheki tu wanajua list ya site ambazo zipo kwenye risk then wana invade, ila hawezi hacker wa fallaga au makundi mengine aitarget site ya bongo direct tu, ni ngumu.
deogan secure site yako, cheki wenzio waliopatwa na ilo tatizo walifanyaje, maana bug fix unakuta zilikupita, kuendelea kuwatafuta hao jamaa ni time wastage. uwatafute what is hacking then ?
samahani kwa kuingilia post yako mkuu ila naomba msaada ktk hili
natumia galaxy note 1 ambayo ni ya kikorea shv-e160 k
4.1.3 version
nilikua na shida kuipeleka lollipop ila njia nnayoijua mimi ni kupitia odin
leo nimedownload firmware 800mb ila kabla sjaanza kazi nimechunguza kwa makini inabidi nitumie njia ya
TRU CWM AMBAYO KWANGU NI NGENI SIIJUI KABSA
NAOMBENI MSAADA WATAALAM WA HAYA MAMBO JAMANIII
nimeroot kupitia kingroot ila sjaona mabadiliko yoyote broTWRP au CWM ni custom recovery ambazo unaziflash baada ya kuroot simu, kwa simu yako tafuta root method za chainfire huwa zinakuwa zinainstall CWM moja kwa moja. Na uanze kwa kufanya backup ya efs partition