Yani Habiba na Dorah ni janga la taifa.
Yani verevere
vibabu kama nyie ambao mwapenda kwenda tuu hovyohovyo ndio mnaowaponza kina Habiba hata wakawa na tabia hizo na mwisho wa siku wanakuja kuwaponza watoto wenu wa kiume!
Ila dorah naye hakunitendea haki kuniambia mwenziye si salama!
ila kiukweli nimekumiss, Msalimie Habiba
akina kapuya!!
vibabu kama nyie ambao mwapenda kwenda tuu hovyohovyo ndio mnaowaponza kina Habiba hata wakawa na tabia hizo na mwisho wa siku wanakuja kuwaponza watoto wenu wa kiume!
Ndio sababu ya kutopokea simu yangu???
vibabu kama nyie ambao mwapenda kwenda tuu hovyohovyo ndio mnaowaponza kina Habiba hata wakawa na tabia hizo na mwisho wa siku wanakuja kuwaponza watoto wenu wa kiume!
Paloma, kuna nyakati contessa gin inasababisha maamuzi yakawa distorted!Mentor...........nikuulize hivi wewe ni mtoto mdogo saaaana kiasi cha kushindwa kukataa?!?!? kama ulishindwa kukataa basi hata hiyo ndoa hukuideserve!!! ulitaka uambiwe kabisa kuwa tumia condom ama hivi na vile as if hujui maana ya condom?!?!? mie naona alokuponz ania shabani na william, na kwa utoto wako ukawaigai kwa kufanya udukuzi! Ungekwua mtu mzima sidhani kam aungefanya maamuzi hayo ukizingatia kwamba unakaribia kuingia katika ndoa na Diana ambaye kwa maelezo yako umemtaja kuwa ni mrembo wa kufa mtu. Nakuomba ikiwezekana badilisha kichwa cha habari tafadhali na uandike Shabani na William wamekuponza!!!
kwa hiyo hata matumizi ya kinga nayo huyajui.............?!?!
bado nasema ni umburula wako ndio uliokuponza ukisababishwa na kina Shabani na William. Wasingekuw ahao kukupeleka hapo na kukushikisha mkono kwa Habiba, je ungemdo? hata kama umetumia Contessa Gin!?!
Mbona wamtetea sana #habiba !?
My point is, ilikuwa kosa la wakati mmoja tu halimaanishi nilikuwa mbulula!
Halafu mbona humuongelei Dorah hapa!??
Halafu nimejifunza...sitorudia tena!!!
vibabu kama nyie ambao mwapenda kwenda tuu hovyohovyo ndio mnaowaponza kina Habiba hata wakawa na tabia hizo na mwisho wa siku wanakuja kuwaponza watoto wenu wa kiume!
prove kama kweli ulipiga na sikupokea!!!
alaaaah!!!
Binti Kadogoo sijakusoma vyema ati...
Diana ana mchumba mwingine kwa sasa, labda mwakani ataolewa!!! :-( :-(
njoo uninong'oneze bestito!!!
Niko negative mkuu..so far! #maana