Habatsoda hutibu magonjwa gani?

vipi kuusu vidondo vya tumbo,mama angu anaumwa takribani miaka 20 sasa
 
Sema tatzo lako ninavyojua hii ni tiba ya maumivu ya tumbo
 
nataka kujua tu magonjwa inayotiba kwani hua naskia ni dawa nzuri sana,asante
 
nataka kujua tu magonjwa inayotiba kwani hua naskia ni dawa nzuri sana,asante
Habatsoda ni dawa ya maradhi mengi mno ikiwemo matatizo ya uzazi, nguvu za kiume, kuondoa gesi tumboni, kutibu maradhi ya tumbo, ulcers nk

Chukua vijiko viwili vya asali mbichi changanya na kijiko kimoja cha habatsoda lamba mchanganyiko huu asubuhi na jioni,

Matatizo tajwa hapo juu yatakuondoka kwa rehema zake Mungu.
 
Ukiondoa kuzeeka na kufa mengine yote yanatibika kwa mafuta/unga wa habbat soda
 
Back
Top Bottom