Habarini wanna jamiiforum,samahanini kwawale waliowahi kufanya usahili wa udereva utumishi watuambie aina yamaswali ya oral wanayouliza.Asanteni

g89

New Member
Feb 3, 2017
2
1

Jipange tu kiakili maswali hayafanani

Siku moja kulikuwa na interview Nhif wakatoa maswali ambayo yako nje ya udereva kabisa

Mf swali ninalokumbuka,

Mkurugenzi wa takukuru anaitwa nani?

Hili swali sitalisahahu maana nilishangaa sana
 
Aisee,
 
Waliouzulia usaili wa oral kada ya udereva leo MZUMBE UNI naomba tujulishane kimeendelea nini maana waliniita ila nimeshindwa kufika.
 
Back
Top Bottom