Habari zinazoongoza gazeti
la habari leo ni kwamba zitto ndie mtanzania anayepewa nafasi kubwa
zaidi kushinda urais 2015
Hili gazeti la wana ccm nimeshangaa kuandika habari hii ila nadhani
wamepania kumpa kichwa ili ahame chadema agawe chama. Sidhani kama zitto
anampita dr slaa hata kumkaribia
Habari zinazoongoza gazeti la habari leo ni kwamba zitto ndie mtanzania anayepewa nafasi kubwa zaidi kushinda urais 2015
Hili gazeti la wana ccm nimeshangaa kuandika habari hii ila nadhani wamepania kumpa kichwa ili ahame chadema agawe chama. Sidhani kama zitto anampita dr slaa hata kumkaribia
kule Lushoto kulikuwa na mipanya inayotoa viroboto vinavyosababisha ugonjwa wa tauni miaka ya 1980s,Hahahaha......unashindwa kuongoza jimbo unataka nchi?
Labda nchi ya mapanya.
Sidhani kama nia yao ipo kwenye kumtaka ahame chadema. Bila shaka umewasikia akina Nape na Le Mutuz pia wakimsifia Zitto, lakini kwa imani yangu ni kwamba wanataka kuwachanganya CHADEMA ili wamteue Zitto kwenye nafasi ya Urais na kumwacha Slaa, na hilo litakuwa ni kosa la kiufundi litakalo iwezesha CCM kushinda kiurahisi. Hakuna lingine. CCM na washirika wake wote vikiwemo vyombo vyao vya habari vinamugwaya Slaa kwa sana. Kwa hiyo ni lazima watafute njia ya ziada ya kuiingiza CHADEMA mkenge ili wamuweke mtu ambaye ni rahisi kwao. Nilishasema hapo zamaini, ukiona mpinzani wako anakusifia, ujue wewe si lolote wala si chochote.Habari zinazoongoza gazeti la habari leo ni kwamba zitto ndie mtanzania anayepewa nafasi kubwa zaidi kushinda urais 2015
Hili gazeti la wana ccm nimeshangaa kuandika habari hii ila nadhani wamepania kumpa kichwa ili ahame chadema agawe chama. Sidhani kama zitto anampita dr slaa hata kumkaribia
gazeti hilo hilo lingemtaja bwana fulani kuwa hakamatiki kwa urais 2015 ungesikia baadh ya watu humu jamvini wakisema "habari leo wameanza kuona upepo wa mabadiliko" vigeu geu
Bwana tuondolee udaku wa Masalia. Tujadili ya maana