HabariLeo washtakiwe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

HabariLeo washtakiwe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Alfu Lela Ulela, Jan 17, 2011.

 1. A

  Alfu Lela Ulela JF-Expert Member

  #1
  Jan 17, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,255
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Naungana na wana Jf wenzangu akiwemo kaka Rev.Masanilo na mzee Mwanakijiji kuwa gazeti la Habari Leo lifunguliwe kesi mahakamani ya madai, kwa kuandika habari za uchochezi na za uongo kuhusu maziko ya kijana Ismail. Japo sina taaluma ya sheria lakini kwa mtazamo wangu naona kuna makosa manne.

  Kwanza ni Defamation kwa chama cha CHADEMA. Pili ni kuichafua familia ya marehemu na kutaka kuigombanisha na waislamu wenzie. Tatu ni kuupotosha umma kwa makusudi na kutozingatia maadili ya uandishi wa habari. Nne ni kujaribu kupika mgogoro wa kidini (ambao kiuhalisia haupo) baina ya Waislamu na Wakristo.

  Na baada ya kesi kufunguliwa mahakamani wanaharakati tuishinikize wizara husika ilichukulie hatua za kinidhamu gazeti hilo na kulipa onyo kali.Sio wizara inajifanya bubu, wakati ingekuwa imetokea kwa Mwanahalisi au Raia Mwema, wale "mbwa" pale wizarani wangekuwa wwashabweka kwa amri ya Mkwere, na wahariri kuitwa na kuhojiwa. WanaJF mnaonaje??
   
 2. M

  MWANALUGALI JF-Expert Member

  #2
  Jan 17, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 601
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Well said, but I distance myself with the last sentence in the third para!!!
   
 3. j

  jerry monny Member

  #3
  Jan 17, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 94
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  haojamaa kusoma alama za nyakati kwao ni msamiati mgumu sana,wamesahau kua mtanzania wa leo sio wakuambiwa tazama hiki au sikiliza hiki.watu wameshaerevuka watu wameshachoka kupangiwa maamuzi.watu wameelimika huwezi waambia zuri ni lipi na baya nilipi kwani ufahamu na uelewa wanao mkubwa sana.nahakuna asieelewa kua uwepowenu ni kwamaslahi ya kundi fulani linaloteketeza taifa.
   
 4. A

  Alfu Lela Ulela JF-Expert Member

  #4
  Jan 18, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,255
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Washtakiwe.
   
 5. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #5
  Jan 18, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  sure,lakiniiii nani wa kumfunga paka kengeleeeee
   
 6. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #6
  Jan 18, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,230
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
  Naungana na wewe mkuu ila huko mahakamani haki itapatikana kweli maana wasi wasi wangu ni km kesi ya mauaji ilitolewa tu pocket money kwa wafiwa hii ya mhariri kibaraka inaweza ikaishia kwa mfagizi wa mahakama!
   
 7. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #7
  Jan 18, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  CHADEMA, Wapambanaji wote Tanzania pamoja na Marehemu Mashujaa wa Arusha kwa pamoja wamedhalilishwa sana na habari ya uongo, chuki na uchochezi iliyoandikwa ndani ya gazeti hili hivi karibuni.
   
 8. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #8
  Jan 18, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Na serikali iende kwa kasi ile ile inapozikamia magazeti ya 'Mwananchi', 'Tanzania Daima' au 'Mwanahalisi' inapodaiwa kufanya kosa kama hili la 'HabariLeo'.

  Wananchi tunasubiri kwa hamu sana kuona serikali inachukua hatua gani na mamlaka nyinginezo zinazodhibiti vyombo vya habari nchini zijitokeze kulaani udaki wa gazeti hili hata kabla CHADEMA haijaenda mahakamani kutafuta haki huko.
   
 9. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #9
  Jan 18, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,230
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
  Tumbili hawezi kuamua kesi ya ngedere hata siku moja...sawa sawaaaa!
   
 10. A

  Alfu Lela Ulela JF-Expert Member

  #10
  Jan 18, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,255
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Naunga mkono hoja mkuu,
  lakini hunni kabla hatujasubiri serikali (ya kidhalimu ya ccm) itoe tamko, sisi kama wazalendo wa nchi hii tuna wajibu wa kufanya?
   
 11. R

  Rwabugiri JF-Expert Member

  #11
  Jan 18, 2011
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 2,777
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  wajibu wa kwanza ni kulisusa, lakini pia tuendelee kupiga kelele kwa wahusika kuchulichukulia hatua kama magazeti mengine
   
 12. A

  Alfu Lela Ulela JF-Expert Member

  #12
  Jan 18, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,255
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Appreciated mkuu.
   
 13. w

  wishao New Member

  #13
  Jan 18, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tupinge mambo yote mabaya yanayotendeka katika mazingira ya habari, lakini tusisahau kuupa nafasi uhuru wa habari.
   
 14. A

  Alfu Lela Ulela JF-Expert Member

  #14
  Jan 18, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,255
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Fafanua mkuu, you mean HabariLeo nao wanahitaji uhuru?
   
 15. d

  dotto JF-Expert Member

  #15
  Jan 18, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Tundikeni hiyo habari hapa Jf. Wengine hatukuiona!
   
 16. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #16
  Jan 18, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,745
  Likes Received: 1,459
  Trophy Points: 280
  Double standard.

  Wanafanya kazi ya serikali haramu. Lisusiwe, lifungiwe kisha lijirekebishe
   
 17. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #17
  Jan 18, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Serikal haiwez kulifungia,wasomaj ndo wenye maamuz
   
Loading...