Habari247 : pata habari kwa programu ya kiswahili...

Habari247 : pata habari kwa programu ya kiswahili...

Ochutz

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2011
Posts
465
Reaction score
106
Habari247 ni programu ya kiswahili iliyotengenezwa kwa ajili ya simu zinazotumia mfumo wa android 1.2 na zaidi. Imetengenezwa mahsusi kwa ajili ya kukurahisishia upataji wa habari muda wote.
Programu hii itakuwezesha kupata habari zinazo/zilizojiri wakati wote kiurahisi popote ulipo,ili mradi tu simu yako iwe na uwezo wa kuunganishwa kwenye mtandao.
kf_4.png kf_2.png
Pia programu hii ina huduma ya kukutumia ujumbe kwenye simu yako kama utajiunga nayo. Huduma hii ni bure na unaweza kujiunga kupitia simu yako baada ya kuinstall.Huduma hii itakuwezesha kupata habari za papo kwa papo(Breaking News) mara tu zinapotokea na ni BURE. Hutalipia ujumbe wowote kama huduma nyingine zinavyokutaka.

 

Attachments

  • scn_2.png
    scn_2.png
    13.8 KB · Views: 97
  • scn_1.png
    scn_1.png
    25.1 KB · Views: 96
  • scn_3.png
    scn_3.png
    12.3 KB · Views: 96
  • scn_6.png
    scn_6.png
    4.3 KB · Views: 92
  • jf_4.jpg
    jf_4.jpg
    22.8 KB · Views: 90
Faida mnapataje kama huduma ni BURE?

Simu inashika internet lakini nikidownload hiyo app yenu naambiwa file not formated! Hapo mwanisaidiaje?
 
Faida mnapataje kama huduma ni BURE?

Simu inashika internet lakini nikidownload hiyo app yenu naambiwa file not formated! Hapo mwanisaidiaje?

Download kupitia google play store kwenye simu yako.
 
Program hii iko GOOGLE PLAY STORE Sasa.
 
Back
Top Bottom