sandet Senior Member Joined Mar 27, 2010 Posts 118 Reaction score 112 Jun 11, 2010 #1 Habari wana Jukwaa, Mi mwanachama, mpya katika jukwaa hili, nimesikia mengi mazuri kuhusu hili jukwaa na nimeamua kujiunga rasmi, ili niweze kutoa mchango wangu na kufaidika na michango ya wanachama wengine, naomba ushirkiano wenu Sandet
Habari wana Jukwaa, Mi mwanachama, mpya katika jukwaa hili, nimesikia mengi mazuri kuhusu hili jukwaa na nimeamua kujiunga rasmi, ili niweze kutoa mchango wangu na kufaidika na michango ya wanachama wengine, naomba ushirkiano wenu Sandet