habari

mamaur

Member
Joined
Feb 16, 2013
Posts
75
Reaction score
42
habari zenu humu wana mmu....mie ni kijana na ningependa kupata maujanja ya mapenzi. naomba mnikaribishe
 
Ni maujanja gani hasa unayoyataka, na katika eneo gani, Nakushauri chukua muda wako kupitia mada za hili jukwaa ambazo zimeshapita utapata maujanja mengi sana .
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…