F fadhili mohamedi Member Joined Mar 26, 2018 Posts 10 Reaction score 2 Apr 19, 2018 #1 Jamani nahitaji yoyote mwenye gali ndogo kama ist, , Ractis na anaitaji aingize pesa kupitia UBER tuingie mkataba kwa wiki nimletee hesabu ya 200,000 kwa wiki tuandikishane gali iwe kwenye hali inzuri niweze kuingizia pesa0654960981
Jamani nahitaji yoyote mwenye gali ndogo kama ist, , Ractis na anaitaji aingize pesa kupitia UBER tuingie mkataba kwa wiki nimletee hesabu ya 200,000 kwa wiki tuandikishane gali iwe kwenye hali inzuri niweze kuingizia pesa0654960981
Kanye2016 JF-Expert Member Joined Jun 4, 2016 Posts 3,019 Reaction score 3,192 Apr 19, 2018 #2 Ngoja waje wenye magai yao mkuu naimani watakutafuta tu