Habari

peter babagody

Senior Member
Jun 16, 2016
103
44
Napenda kushukuru Mungu kuwa nami Leo nimekuwa mmoja wenu Jf,,,naombeni sana ushikiano wenu ili nami niweze kuwa mbobevu na maswala mazito yanayotolewa humu kama mafundisho tosha ya jamii yetu kwa ujumla,,,asanteni saaanaa
 
Karibu sana mkuu. Hili ni jukwaa huru na elimishi sana. Ni platform muhimu sana. Hapa kila tatizo litapata ufumbuzi na kila swali utapata jibu lake.

Hatahivyo, uwe makini sana.....sio kila mchango utolewao hapa na sio kila kitu kisemwacho hapa ni fact. Vipo vingi ni ukweli lakini mengine ni matango pori. Kila penye "mamba" na "kenge" wapo.
 
Nimekuelewa asante
 
Humu ukitaka kujua chochote utajua yaan hadi uchawi wa kumwita jini upo
 
Back
Top Bottom