Nani kawaambia kutoboa macho ni kuficha ushahidi?
kazi ya samweli sita hiyoHabari wakuu
Mbagala Kingugi mwanamke amekutwa amefariki ndani ya nyumba chakavu huku akiwa uchi kama alivyozaliwa , ametobolewa macho ili kupoteza ushaidi
CCM ni maharamiakazi ya samweli sita hiyo
Duh, watakuwa CCM hawa kakataa kura ya wazi
CCM ni maharamia
??????????????????Mbagala mwanamke akutwa amekufa,katobolewa macho,ok,nimeishanakili katika mobile phone yangu.Nitaifuta baada ya one or two days.