Habari zilizo tufikia hivi punde

Habari zilizo tufikia hivi punde

kisumapai

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Posts
544
Reaction score
219
Habari wakuu

Mbagala Kingugi mwanamke amekutwa amefariki ndani ya nyumba chakavu huku akiwa uchi kama alivyozaliwa , ametobolewa macho ili kupoteza ushaidi
 
Mungu amlaze mama anapostahili
Mungu asaidie kukamatwa kwa watesi wa mama
 
Jamn cijui dunia tunaipeleka wapi ndugu zangu
 
Bora sitta ana unafuu mbn wanawake hatuwaonei uchungu kiasi iki
 
Mbagara kingugi mwanamke amekutwa amefariki ndani ya nyumba chakavu uku akiwa uchi kama alivyozaliwa , ametobolewa macho ili kupoteza ushaidi
So....sad
Ushahidi haupatikani kwa kutumia macho pekee!
 
Hii sasa ni harari sana kwa kweli wakipatikana wakamatwe na kufungwa maisha.
 
Jaman watz tubadilike tusiwe kama al_shabab
 
Back
Top Bottom