muggyen
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 347
- 254
Natafuta watu ambao wako interested na mambo ya technology katka field mbalimbali ambao wangependa kushirikiana na wenzao kujadili mambo mbalimbali kupitia magroup mitandao ya kijamii na kuweza kujifunza vtu vpya kutoka kwa watu wengne. kama upo interested naomba tuwasiliane kupitia email yangu muggyen@yahooo.com