Finegirlone
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 1,836
- 3,616
.
Njoo tubadilishane rangi unipe yako nikupe yanguNatafuta lotion ambayo itanipa kirangi cha kistaa, yaani nataka lotion ambayo inakufanya unakuwa wa chocolate, View attachment 1037961
Sent using Jamii Forums mobile app
Mami mambo, huu uzi niliufungua unakaribia wk 2 sikupata majibu nikaenda kko kuna duka nalopenda kununua kuna kaka akanishauri nitumie Nivea cocoa butter nimetumia iko poa nzuri inanipa rangi nayopendaNjoo tubadilishane rangi unipe yako nikupe yangu
Na ulivyo kazuri mashaalahMami mambo, huu uzi niliufungua unakaribia wk 2 sikupata majibu nikaenda kko kuna duka nalopenda kununua kuna kaka akanishauri nitumie Nivea cocoa butter nimetumia iko poa nzuri inanipa rangi nayopenda
Sent using Jamii Forums mobile app
😅😅 ndo kapi hako my dear
Bei gani hiyo nivea cocoa butter?Mami mambo, huu uzi niliufungua unakaribia wk 2 sikupata majibu nikaenda kko kuna duka nalopenda kununua kuna kaka akanishauri nitumie Nivea cocoa butter nimetumia iko poa nzuri inanipa rangi nayopenda
Sent using Jamii Forums mobile app
Maduka ya jumla kko kopo kubwa 9000 zingine 10000 na zipo chini ya hapo