Kijana umeanza kuwaza vema. Ni hatua nzuri. unaweza kuanza na hilo hamna neno. Kwa kuongezea kama una adhma ya kweli ya kujitegemea basi uendelee na adhma hiyo hyo mpaka mwisho. Ukiweka mentality hiyo utaweza. Pili jifunze kuinvest hela yako na kuizungusha hata kama kidogo.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums