Habari zenu wakuu!

Habari zenu wakuu!

Karıbu. Naona umeamua kuıngıa usıku.
 
Mchana nilikuwa namuogopa MS...nimeamua nijitupie JF...kitambo naifuatilia ila sasa nimeguswa kuchangia mada mbalimbali
ASANTE MKUU
 
Karibu, na pole kwa safari, gari iliharibika njiani nini? naona umeingia usiku.
 
Zingatia vigezo na masharti............nawe utakuwa mwenye heri
 
Karibu fundi umeme ila kwangu kuna shoti ya umeme nimelala giza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom