Habari zenu humu wanajukwaa

Msekule

Member
May 14, 2019
86
75
Naitwa msekule, ninaitaji kwenda africa ya kusini kutafta maisha, lakini kule sina ndugu wala rafiki.
Kwa yeyote humu kama yupo uko anisaidie kunistili kwa muda hadi pale nitakapo pata kibarua.
FB_IMG_15562290386195737.jpeg
 
Swet r, kuwa muwazi na mkweli ni kitu mhimu ususan unapokwenda mahali kwa mala ya kwanza.
 
Swet r, kuwa muwazi na mkweli ni kitu mhimu ususan unapokwenda mahali kwa mala ya kwanza.
Hakuna atakaekuja kukuambia njoo kwangu. Akikuambia hivyo kiwepesi ujue ana maslahi na wewe. Kitu MUHIMU wewe kama uko tayari kwa hiyo safari wewe zama tu,mengine yatajulikana mbele
 
Back
Top Bottom