habari zenu bhana wadau! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

habari zenu bhana wadau!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Nchagwa Chacha, Apr 12, 2011.

 1. Nchagwa Chacha

  Nchagwa Chacha Member

  #1
  Apr 12, 2011
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  msaada wa mawazo wadau. Nina rafiki yangu kaachwa na mpenzi wake sababu ni kwamba hakumwambia ukweli kuhusu mahusiano yake ya zamani sasa jamaa kajua ukweli na kamwambia hawezi kuendelea kuwa nae it means amemwacha. Bado anampenda sana amejaribu kumwomba msamaha imeshindikana.
   
 2. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #2
  Apr 12, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 160
  Malizia story anataka ushauri gani huyo rafiki yako.......................
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  Apr 12, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Uwongo sio mzuri.Sema ukweli mwanzoni ili ijulikane kama mnasuka au kunyoa kabla hamjatia nywele maji.Pole yake kwa kuvunja uaminifu mapema...aombe kama atasamehewa ila kama haiwezekani aangalie ustaarabu mwingine.Mwambie next time awe mkweli.
   
 4. sweetdada

  sweetdada JF-Expert Member

  #4
  Apr 12, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 540
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  lol..na mie nashangaa..keshapewa black and white ye anataka ushauri..khaa!!
   
 5. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #5
  Apr 12, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  nahisi mtoa mada alitakatu tujue. kwa hapa tunapaswa kuitikia "sawa".
   
 6. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #6
  Apr 12, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Nchaghwa uuuuh,..
  huyo mwiseke mwambie ache uni ntamuoa tu mbane sio rasima huyo mchabhani ariye mtupha
   
 7. Kaka Mpendwa

  Kaka Mpendwa JF-Expert Member

  #7
  Apr 12, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 771
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  mi nilifikiri ni anasalamia wana jamvi, kumbe anataka mawazo, halafu stori hajasema anataka mawazo yapi...
   
 8. Nchagwa Chacha

  Nchagwa Chacha Member

  #8
  Apr 14, 2011
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  humu ndani mna vijembe wengine mnakatisha tamaa. Kwani mtu akikupa story na akiomba ushauri kinachotakiwa si kushauri wat to do! Acheni kuwa rude hivyo
   
 9. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #9
  Apr 14, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  mia miaaaaaaaa'''''''''''''''''
   
Loading...