1. Habari zenu wana team.
2. Habari zenu ma single lady wote.
3. Habari zenu ma single boys wote ambao mnaharibu mabinti wawatu mahusiano Miaka mitano na hakuna hata dalili ya Ndoa.
4. Habari zenu madada wote ambao mnamatarajio makubwa na ndoa lakini bado Mungu hajatoa kibali.
5. Habari zenu wakaka wote ambao mnataka kuoa lakini hamtaki tu kwa kibuli eti mpaka kutest yaliyomo.
6.Habari zenu wanandoa wote ambao mmeshaoa lakini bado tente za wadada wa humu zinawatoa nduki.
7. Habari zenu wanandoa wote ambao mmefunga ndoa lakini mwisho wa siku mnajilaumu kwnn mmewah kuoa/kuolew baada ya kukutana na wadada/wakaka wenye viwango.
8. Habari zenu nyote ambao mko online kwa sasa lakini hata salamu tu kwa wanateam wenzako imekushinda.
9. Habari zenu wote ambao mlinyimwa raha na Panya Road hapo juzi.
10.Habari zenu nyote ambao mwaka huu ndio mmeanza kuingiwa na wazo la kufunga ndoa kama fulani.
11. Habari zenu wadada/wakaka ambao mnawachumba zenu ali hali unajua kabisa wewe ni spare tyre.
12. Habari zenu wadada/wakaka wote ambao wanajua nini maana ya mahusiano.
13. Habari zenu wote humu ndani ambao mko busy na kazi kila siku hata jumapili unashindwa kuchati japo salamu nawenzako.
14. Habari zenu wote ambao huwa mnasali na kufanya ibada siku za sikukuu tu.
15. Habari zenu wakaka wote ambao mmewavalisha pete za engagement wachumba zenu huu sasa ni mwaka tano, muhurumie mwenzako siyo keyholder.