Habari za siku nyingi

Habari za siku nyingi

Rapture

Member
Joined
May 6, 2010
Posts
5
Reaction score
0
Wapendwa wana MMU habari za siku tele nilipotelea mbali na hili jukwaa na leo nimerudi. Natumai hamjambo na nimerudi na nitashirikiana nanyi kwenye shauri mbalimabli
 
hatujambo mkuu karibu tena jiskie uko nyumbani.
 
Welcome home go east go west home is best !!vp zawadi zipo ??
 
Karibu sana, hapa ndio kwenye raha zote
 
Back
Top Bottom