Habari za SIASA magazetini

Mambo Jambo

JF-Expert Member
Jul 11, 2008
1,100
81
Wakuu, heshima mbele.

Nimeona niipost hii thread kwenye jukwaa hili la siasa kwa kujua kuwa jukwaa hili ndiyo jukwaa nguli la mambo ya siasa.

Hivi ni kwa nini magazeti mengi ya Tanzania hujaa habari nyingi za siasa kwenye front pages kama headlines nini sababu ya msingi?


MJ
 
Mdau ni kwamba SIASA ndio inayoendesha inchi.na siasa ndio inayoamua nini kifanyike na na nini kisifanyike.
ni hayo tu.
mdaumie
 
Kwasababu siasa ndio imetawala bongo! there is no science, no inovation... etc just dirty politics are prevailing in Bongo atmosphere!
 
Back
Top Bottom