Habari za kiintejensia zinatangwa !? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Habari za kiintejensia zinatangwa !?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by utiyansanga, Nov 4, 2010.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. u

  utiyansanga JF-Expert Member

  #1
  Nov 4, 2010
  Joined: May 19, 2010
  Messages: 214
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nIMESIKIA redion AFANDE KOVA anatuambia kuwa wapelelezi wake wamegundua kuwa kuna watu wanaandaa watu kufanya fujo.Hivi jamani upepelezi gani huu wa polisi mntangaza kama vile ni maandalizi ya kumfungisha mtu ndao ya mkeka kwetu uswahili lini,mnashindwa nini kupelelza kimyakimya muwakamate afu mtujuze ,mbona mnataka kuwa fanya watu wajinga,huu si upellezi ila ni propaganda tu ,kama ndivyo mnavyofanya kazi mh!
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Nov 4, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Kama kuna watu , ishu ilikuwa ni kwenda kuwakamata na kuwafungulia mashitaka...basi!
  Intelijensia gani inatakiwa hapo?
   
 3. c

  chiute2005 Member

  #3
  Nov 4, 2010
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  chama cha makamamba(ccm) wa kijeshi kinaweweseka, hakijui cha kufanya, kinajaribu kuwatisha watu kupitia vyombo vya dola ili wasidai haki yao, kamwe tusiogope tubebe hata matokeo ya urais tukawashitaki kwa baba zao watawanyoosha tu(wafadhili). pia tuweke mkakati wa kukifuta kabisa chama cha ccm katika uchaguzi wa 2015 ikibidi wasipate hata kiti kimoja cha ubunge na wapoteze halmashauri zote


  peoples stand up for your rights, hii sio nchi yao ni yetu ndio maana tumewaonesha uamuzi wetu wa nani anatufaa kupitia sanduku la kura ingawa hawataki kukubali ukweli kuwa hatuwataki.

  hivi jamani kama umemkataa mtu kuwa mke/mme wako kwasababu humpendi halafu hakubali unafanyeje???
   
 4. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #4
  Nov 4, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  mod unganisha hizi thread na member muwe makini mnapoanzisha mada as wengine wanakuwa tayari wamesha anzisha thread namna hii watu wanashindwa ku stick kwenye thread moja plz members kuweni wastaarabu au mnataka kuwa na mipost mingi???????????
   
 5. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #5
  Nov 4, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
 6. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #6
  Nov 4, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  napiga huku nikimtoa nje ya nyumba yangu
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...