Habari za hivi punde /breaking newz

Habari za hivi punde /breaking newz

Squidward

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2014
Posts
8,386
Reaction score
10,458
Habari za hivi punde

Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa basi lenye usajili namba T 124 DAK likiwa na abiria 61 mali ya kampuni ya hood linalofanya safari zake arusha to mbeya leo majira ya saa 5:14 Asubuhi limeacha njia nakuingia hotelini.Ambapo abiria wote 61 walipata chai na baada ya hapo waliendelea na safari.

Mungu bariki safari yao
 
Habari mpasuko nini hapo? Abiria kunywa chai au basi kuingia hotelini? Inaonyesha hiyo hoteli ina parking ndani ya hotel !!!
 
Habari mpasuko nini hapo? Abiria kunywa chai au basi kuingia hotelini? Inaonyesha hiyo hoteli ina parking ndani ya hotel !!!

"hoteli ina parking ndani ya hotel"

hahahahaha
 
Duuuuuuuhhh nadhani hii Act ya cyber ingeanza kufanya kazi kwako ryt now...! Kuna watu wana pressure humu bhaaana
 
Wewe jamaa unafaa kuwa mwaandishi wa habari za udaku kwasabu magazeti mengi ya kibongo ukisoma kichwa cha habari na kilicho andikwa ndani ni tofauti
 
Kuna vitu vya mzaha vingine sio unadhani mtu mwenye pressure atasoma hadi mwisho???
 
Habari mpasuko nini hapo? Abiria kunywa chai au basi kuingia hotelini? Inaonyesha hiyo hoteli ina parking ndani ya hotel !!!
Hapo nimeshindwa kuelewa kuna hoteli ngapi!:lol::lol::lol::lol:

Kiswahili ni shida sana aisee!
 
Kuna vitu vya mzaha vingine sio unadhani mtu mwenye pressure atasoma hadi mwisho???

:lol::lol::lol:
kwani kati ya yeye (mtu) na presha aliyonayo, kinachosoma ni kipi?
Hebu tuanzie hapo kwanza..
Hahahaa! Jokes time.
 
Hapo nimeshindwa kuelewa kuna hoteli ngapi!:lol::lol::lol::lol:

Kiswahili ni shida sana aisee!
Sina maana hiyo!!! ... Soma vizuri habari mpasuko ndo utanielewa. .....ila hapo maneno "ya hotel " ondoa.:welcome:
 
Back
Top Bottom