Kuna vitu vinafikirisha sana, waziri anafuata inayoitwa dawa nchi nyingine kwa ndege ya rais, anakunywa hiyo dawa wakati anakabidhiwa.
Baada ya kurudi nchini na kuulizwa utaratibu wa kuigawa hiyo dawa, anasema lazima isubiri kufanyiwa utafiti kwanza kujiridhisha. Huyu waziri ana upendo kiasi gani kuweka rehani kubwa kiasi hicho ikiwa bado wana tashwishwi na hiyo dawa?