Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,957
Ndo maana nadhani ameamua mwenyewe awe jirani na bahari, choo na yote mumo humoMkuu Kwa Vyoo Vyetu Vya Tandale Uzuri Huyu Si Anazama Nacho Kabisa Na Kutokomea? Akijamba Huyo Hadi Harufu Iishe Kabisa Ni Wiki 1.
Tumboni kuna Gesi nyingi hakuna kitu kingine zaidi ya mafuta kwa wingi kwenye figo lake na utumbo wake maji mengi yapo tumboni.Sasa hivi humotumboni huwa kunanini?
Akhsante daktariTumboni kuna Gesi nyingi hakuna kitu kingine zaidi ya mafuta kwa wingi kwenye figo lake na utumbo wake maji mengi yapo tumboni.