Tanzania kila gazeti tabloid.Wanabodi,
Kupitia bandiko hili, imeripotiwa kuwa gazeti serious la serikali, The Daily News, ameripoti habari hii ya Dr. Shika
'Bilionea' Dr. Shika hana sehemu ya kulala, analala kituo cha magari Mnazi Mmoja Dar
Yule Bilionea wa 900 itapendeza hana pa kulala, bado anasubiri hela zake kutoka Russia. === FAMOUS 'BILLIONAIRE' SHIKA TURNS HOMELESS FAMOUS Dr Louis Shika— billionaire without cash—as he has nicknamed himself, is now putting up at Mnazi Mmoja bus stand in Dar es Salaam, the ‘Daily News’...www.jamiiforums.com
Imeripotiwa in a form of ridiculous as if Dr. Shika is just a normal person!. He is not!. Dr. Shika is a special case who needs assistance, privacy and treatment na siyo to ridiculed!
This is the highest points of unethical behaviour and unprofessionalism. Dada Tuma, weledi wake sis Gandhi yeti tunaufahamu tangu Kia newsroom ya RTD, usiruhusu vijana wako watuletee habari kama za yale magazeti ya makorokocho.
Hali ya Dr. Shika niliwahi kuizungumza humu
Opinion: Dr. Shika Ana Hali Fulani, Anahitaji Msaada, Huruma, Upendo na Protection of His Right to Privacy!.
Wanabodi, Declaration of Interest Hakuna binadamu ambaye ni mkamilifu, kufuatia hali fulani fulani, mtu ambaye ni mzima kabisa huweza kughafilika. Mimi mwenyewe hapa ni mzima kabisa, lakini kwenye my love for rough riding the big bikes, nilikuwa a rough rider na kughafilika kwenda mwendo kasi...www.jamiiforums.com
Maadam Daily News imekuwa wa kwanza ku-scoop hii homelessness ya Dr. Shika, please be the first to help out.
Paskali.
Daily News halikumuandika Dr. Shika kama mtu anayehitaji msaada, liliandika kumkejeri nami halikunifurahisha hilo.Sijaona tatizo kwa Daily News kuandika iliyoyaandika. Dokta, kama mtu maarufu, anastahili kusaidiwa. Nimeiona kwenye azam TV pia. Ukishindwa kusaidia saidia watu kusaidia kama walivyofanya wao. Dada Tuma, kama upo hapo, keep it up.
Hivi kuanika mawasiliano yake ni sahihi?! Mna violate privacy yake.Dr Shika nampataje, simpati hewaniView attachment 1249864
Anatafuta laki tako akagomboe dollars 18,000ml zake hapo Uswizi.Pesa zake kwani hazikufika. Au alitapeliwa?
Nakubaliana na wewe, na nina imani hata aliyeileta mada hapa anafahamu hilo. Si lazima kumsaidia mtu iwe kwa staili ile ile kwa sote. Daily news wangeweza kusaidia katika namna tofauti na kuiandika/kuishabikia hii issue. Hotels and Guest houses serve the same purpose but have different standards.Sijaona tatizo kwa Daily News kuandika iliyoyaandika. Dokta, kama mtu maarufu, anastahili kusaidiwa. Nimeiona kwenye azam TV pia. Ukishindwa kusaidia saidia watu kusaidia kama walivyofanya wao. Dada Tuma, kama upo hapo, keep it up.
Dr. Shika ni mtu aliyepo kwenye hali fulani, hizo pesa anazofuatilia ni zile cyber hoax mtu anajifanya ana millions mtoe mgawane keisha anahitaji umtumie pesa kwa western union.Ta paskali rafiki yangu, huyu mtu kweli anahitaji huruma ili afanikiwe mipango yake juzi nilimwona stand hapa posta akiwaonyesha papaer zake za mahela kutoka Kenya Diamond Trsut bank, kweli madola anayo rafini serikali haimsaidii kama ni kufoji awezi kufoji kwa kiwango hiki jamani
Do you believe that?.Anatafuta laki tako akagomboe dollars 18,000ml zake hapo Uswizi.
Daily News sio gazeti la CCM, ni gazeti la serikali , Jopo serikali aliyepo ni ya CCM, lakini bado CCM ni CCM na serikali ni serikali, hivyo vyombo vya habari vya serikali ni vyombo vya serikali kama ilivyo Idara ya Habari Maelezo, TBC, TBC Taifa, TBC FM na Gazeti la Habari Leo. Vyombo vya habari cha CCM ni gazeti la Uhuru/Mzalendo, Radio Uhuru, Channel Ten na Magic FM.Daily News ni gazeti la ccm kama ilivyo kwa uhuru, na Tanzanite
Kwenye local media, Tanzania bado tuna safari ndefu.Tanzania kila gazeti tabloid.
Ndio maana huwezi kukuta gazeti limechapisha masahihisho kwa habari lililokosea hata spelling tu.
Ukisoma The New York Times utaona kuna sehemu hiyo wanaandika masahihisho kila siku, wakikosea hata herufi moja ya jina, ukiwasahihisha in time, kesho yake unakuta wamekuombabradhi na kusahihisha jina.
Haya ndio maswali gani, kwani siku hizi ukitaka kuongea kitu, unawajibika kusema unaongea kama nani?, Mkuu Beira Baby...Boy vipi wewe?.Unaongea wewe kama nani?
Haya ndio maswali gani, kwani siku hizi ukitaka kuongea kitu, unawajibika kusema unaongea kama nani?, Mkuu Beira Baby...Boy vipi wewe?.
P
Kwanza habari yako imejikita kwenye nini hasa? Kupinga, kukosoa au nini ngwana wa mayooHaya ndio maswali gani, kwani siku hizi ukitaka kuongea kitu, unawajibika kusema unaongea kama nani?, Mkuu Beira Baby...Boy vipi wewe?.
P
Haya ndio maswali gani, kwani siku hizi ukitaka kuongea kitu, unawajibika kusema unaongea kama nani?, Mkuu Beira Baby...Boy vipi wewe?.
P
Comedian yuleDo you believe that?.
P.