Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
[h=5]hello everyone[/h]
hello everyone
Hello MziziMkavu, Tumeamka salama, hofu kwako ulie mbali na upeo wa macho yetu, !!!!!!!!!!!?????????
![]()
Sielewi elewi, ni m-mbwa ama Simba?[h=5]hello everyone[/h]
![]()
mbona unalala mapema? utanenepa wewe shauri yako unapenda kulala.Mi nina usingizi balaa hapa najisikia kulala tu!!
Haimaanishi kama mtu akienda kitandani kulala mapema anaupata huo usingizi!!mbona unalala mapema? utanenepa wewe shauri yako unapenda kulala.
mimi sijambo Dog anawasalimia huyo si unamuona anavyo zunguma na nyinyi? Dog anasema Hi kwa watu wote.Wazima kabisa,vipi wewe na dog wako
Alhamdu lillahi sijambo huko kwako.Bukheir!!!!
Kaif maalim mzizi