Habari wanajf!

Negative

Member
Joined
Dec 26, 2010
Posts
17
Reaction score
0
Naamini wote mko vizuri, nafurahi kupata fursa ya kuwa mmoja kati wanachama wa jamvi hili, naomba kupata baraka zenu wakubwa...
 
wasiliana na smati na miss judith waliojiunga jana tumewapa maelekezo, au kama vp nenda kwa dereva wa kivuko cha mv magogon ana nakala ya form_zijaze kwa ukamilifu hlf uniletee pale ofcn kwangu opposite na wizara ya elimu magogon
 
Mkubwa unatumia dozi? nashauri uimalizie...., endapo kuna maelekezo yoyote kwa wageni wa jamvi naamini yangewekwa katika ukurasa wao na si kuwatumia smati na judith!
 
Karibu bana.Nitafute anytime kwa maelezo yoyote
 
Karibu negative,japokuwa nami mgeni lakini hakika huku nikuzuri na kutamu pia,Karibu sana
 
Nashukuru mkubwa, kama nawe mgeni basi karibu pia, sote tujumuike katika kuchangia midaharo na mambo mengine yenye tija katika taifa letu..
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…