tata mvoni
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 534
- 81
Habari zenu binafsi nna maswali kadhaa kuhusu Free To Air Channels na Dishes:
- Hivi tunaposema dish ni FUTI 6 maana yake ni nini? je ni urefu wa stima za kushika hilo dish au ni kipenyo cha dish i.e diameter?
- Nikiwa na satellite dish ya mfano Zuku au DSTV afu nikanunua MPEG 2 DECODER nItaweza kupata hizo FTA?
- Je kuna decoder maalum kwa ajli ya kupata free to air channels?
- Ukiwa na decoder ya DVB-T kama hizi za Star times utawezaje kupata FTA channels?