abdala pembe
Member
- Aug 31, 2018
- 6
- 3
mimi ni mwanafunz ambaye nimemaliza kidato cha nne mwaka jana nimesomea masomo ya arts lakini nimeamua kwenda kujiunga na veta kwenda kusomea plant operator je naombeni ushauli wana kikundi kuhusu hii kozi inalipa?