HABARI WANA JAMVI:

tropa92

Senior Member
Jan 25, 2017
156
217
Naomba kujuzwa juu ya Kozi hizi na tofauti zake;CLINICAL OFFICER ,CLINICAL MEDICINE na MEDICAL OFFICER

Natanguliza Shukrani
 
Clinical medicine ni jina la kozi .Ukihitimu Clinical medicine unaitwa Clinical officer

Medical officer ni cheo cha mtu aliyehitimu shahada ya udaktari

Wote ni wataalam
 
Nashukuru mkuu nimeelewa
 
Back
Top Bottom