Kila kitu kina utaratibu mkuu, watu wengi sana humu nimewawekea bluetick, kuna bluetick ya gold inakuja na premium features kama vile
1: Kufuta mada
2: Ukimblock mtu haoni content zako
3: Kufuta comment za wengine kwenye mada yako n.k
Premium features ni nyingi mno ambazo nyie regular hamzipati