Habari wakuu leo nimedegeda mchepuko na sitaki kurudi nyumbani

thegeniustzda

JF-Expert Member
Dec 14, 2017
211
358
Habari wakuu nimedegeda mchepuko yani nimepewa kila staili yani hapa nimekaa sitaki kurudi kwa shemeji yenu sielewi shida nini hapa kaniambia hapa anachemsha maji ya kuoga aje aniogeshee chumbani nishaurini njia gani ya jinsi ya kumdanganya shemeji yenu nisirudi nyumbani ase huu mchepuko ni moto wa kuotea mbali anaweza kufanya ukatelekeza familia
 
Kwa mwendo huo mkeo hana chake hapo.
 
Habari wakuu nimedegeda mchepuko yani nimepewa kila staili yani hapa nimekaa sitaki kurudi kwa shemeji yenu sielewi shida nini hapa kaniambia hapa anachemsha maji ya kuoga aje aniogeshee chumbani nishaurini njia gani ya jinsi ya kumdanganya shemeji yenu nisirudi nyumbani ase huu mchepuko ni moto wa kuotea mbali anaweza kufanya ukatelekeza familia
na HIV pia ni ya moto.
 
Back
Top Bottom