Habari njema ya ufalme wa Mbinguni

Habari njema ya ufalme wa Mbinguni

wasabato nanyi mmeanza kukengeuka na kujiita manabii!? hakika hizi ni nyakati za mwisho.
Mimi ni msabato lakini ndugu zanguni hakuna kitu kama hiki. Huyu anachafua kanisa la Mungu. Nabii hajitangazi. Mungu anisamehe kwani mimi naona huu ni utapeli. Kanisa la wasabato halina kwa sasa Nabii aliyetambuliwa na kanisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapendwa wanajamvi tumefuatilia tumegundua kwamba huyu nabii ni msabato masalia na sio Seventh day Adventist. Ni bora mpendwa ukaweka wazi kuliko kujificha ndani ya kanisa la sda. Mungu na akubari kama kweli wewe ni nabii wa kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom