Habari njema ya ufalme wa Mbinguni

Habari njema ya ufalme wa Mbinguni

Nashukuru Nmekulia na kulelewa Lutheran (KKKT)...mambo ya Dini ilikuwa siri kama Jando system ya ibada ikiwa lurturgia mambo ya kuimba mpaka jasho au vurugu hayakuepo lkn ss hatari.manabii,Mitume kibao yaani vurugu tupu.Hata Lutheran ya sasa imebadilika sasa Minada(Full biashara),Michango kibao inavunja moyo.Naamini Kilichoandikwa na Biblia tu.Mambo sijui ya kupanda mbegu sitaki kusikia
 
Nachukia SNA ninapoona watu wanapotosha injili.
We mwonaji aliekwambia ukiwa msabato unaingia mbinguni ni nani.

Kwa taalifa yko mbinguni wanaingia watakatifu tu.
Biblia isema haijalishi uwe uyunani au uyahudi lakini kama umeshika sheria na neno LA mungu na mwisho.
Ukiwa MTAKATIFU ndo inaiona mbingu mpya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HABARI NJEMA YA UFALME WA MBINGUNI
Je duniani mna habari kwamba yupo nabii wa MUNGU Mtakatifu? Kama hamna habari basi nabii huyo yupo hapa duniani, na biblia imemuelezea ya kwamba atakuja kutayarisha ujio wa mara ya pili wa Mtakatifu BWANA YESU KRISTO. Nabii huyo ametabiliwa katika biblia hatua mbalimbali. Hatua ya kwanza ya mabadiliko ya nabii huyo alibadilishwa macho yake mwaka 1988 kama nabii Zakaria alivyotabiri, Zakaria3:8-10. Hatua ya pili mwaka 1989 alianza kuongea na Mtakatifu BWANA YESU KRISTO muda wa usiku akiwa amelala na kupokea habari mbalimbali za MUNGU Mtakatifu na kuwajulisha jamaa zake wa karibu. Hatua ya tatu alianza kuongea mwaka 1990, alianza kuongea na MUNGU Mtakatifu muda wote mchana na usiku jambo ambalo liliwashangaza watu wa karibu yake na kuamua kufatilia katika biblia juu ya mabadiliko ya maono hayo biblia inafafanuaje, kama Kumb18:15-22, Malak4:4-6, Math11:2-15, Yoh16:12-15, Math17:10-13 na Yoh1:19-23. Watu wa karibu yake walianza kufuatilia katika biblia na kufahamu kua ni kweli kuhusu mafungu haya yanayo mtambulisha nabii wa MUNGU Mtakatifu na mafungu mengine mengi kama Isaya41:3.
Njia anayotumia kuongea na MUNGU Mtakatifu ni ya kufumba macho, nabii huyu anapofumba macho anaona moja kwa moja juu MBINGUNI na kumuona MUNGU Mtakatifu na watakatifu wote walio juu MBINGUI kama nabii Isaya alivyotabiri Isaya42:18-21. Nabii huyu aliendelea kuongea na MUNGU Mtakatifu na maono hayo yakazoeleka ya kwamba anaona MBINGUNI, duniani na sehemu yoyote ile ambayo MUNGU Mtakatifu anapenda kumuonesha kama vile baharini majini chini ya dunia ambako ndiko makazi ya shetani yaliko. Hivyo watu wakaribu wamezoea wanauliza shida zao mbalimbali na ndoto zao na kupata majibu ya shida zao na tafsiri ya ndoto zao mbalimbali kutoka kwa MUNGU Mtakatifu wa MBINGUNI kupitia kwa Mwonaji wake nabii.
Baada ya maono hayo kuwa wazi kiasi hicho MUNGU Mtakatifu alimuagiza Mwonaji nabii na watu walio karibu yake wajenge kanisa, kanisa lilijengwa mwaka 2000 miyomboni Misugusugu wilaya ya kibaha mkoa wa Pwani Tanzania, ambalo limepokea habari njema ya ufalme wa MBINGUNI kuwa ushuhuda kwa watu wote kama Mtakatifu BWANA YESU KRISTO alivyotabiri katika Math24:14, pia kumekuwa na mafundisho mbalimbali yanayopokelewa kila sabato na nyimbo mpya kutoka MBINGUNI zimepokelewa kutoka kwa MALAIKA GOGBAM muimbaji wa MBINGUNI.
Lengo hasa la MUNGU Mtakatifu kuleta maono haya kwa nabii huyu ni kuwaandaa watu kwamba Mtakatifu BWANA YESU KRISTO yuko karibu kurudi duniani, watu wote wajiandae kuacha dhambi ili waweze kumpokea mawinguni. Hivyo maandalizi unayotakiwa uwenayo mwanadamu sasa, unatakiwa ushike amri kumi kama yeye Mtakatifu BWANA YESU KRISTO alipokuwa hapa duniani Yoh15:9-10, pia lazima uwe msabato kama yeye alivyokuwa msabato Luk4:16-18, Math12:8. Mtakatifu BWANA YESU KRISTO anasisitiza kwamba watakao kwenda MBINGUNI watakwenda kuabudu sabato kama alivyosema katika Biblia Isaya66:22-23. Kwahiyo watu wote karibuni tumsikie Mtakatifu BWANA YESU KRISTO anasema nini kwa wakati huu duniani
MAWASILIANO
Mwonaji/NABII: 0758408348 au 0712838675
Mtumishi wa kiroho: 0752092911
Mzee wa kanisa: 0754993241 au 0715993241
TOFAUTI YAKO NA MANABII WA UONGO NI IPI,JE NAWE UKIPATA PES HAUTAKUWA KAMA MANABII FEKI TUNAOWAONA WENYE NDEGE,MAGARI NA WANAENDA KILA KUKICHA DUBAI,JE NAWE UTAISHI MAISHA KAMA YA YESU,TUTAHITAJI MREJESHO UKIFANIKIWA NAJUA UTAFANIKIWA KWANI WATZ HASA AKINA DADA WANAPENDA SANA MIUJIZA PIA UJIEGEMEZE KWENYE MATATIZO YAO UTAWAPATA SANA
 
NILIKUWA NAULIZA WEWE MLETA UZI Katika Kabila 12,za Israel wew Ni Uzao wa Kabila Gani hapo? Maana sio kwa kusisitiza Uko sabato.
 
Hakuna malipo yoyote ya huduma ya maombezi. maombi yote ni bure. karibu kanisani uongee na Mtakatifu BWANA YESU KRISTO kupitia Mwonaji wake.
wanasemaga bure mwanzoni , ili wakuteke vizuri ufahamu wako , wakishakuteka utaambiwa vyote vijazavyo nchi ni mali ya bwana ,
 
Huyo nabii kaona huko jumapili kumejaa tayari manabii kaamua ahamie jmosi na kuja na habari za sabato ana uhuru huo lkn asichukuliwe kuwa ni muadventista msabato (S.D.A) huyo ana huduma yake nyingine kabisa
 
HABARI NJEMA YA UFALME WA MBINGUNI
Je duniani mna habari kwamba yupo nabii wa MUNGU Mtakatifu? Kama hamna habari basi nabii huyo yupo hapa duniani, na biblia imemuelezea ya kwamba atakuja kutayarisha ujio wa mara ya pili wa Mtakatifu BWANA YESU KRISTO. Nabii huyo ametabiliwa katika biblia hatua mbalimbali. Hatua ya kwanza ya mabadiliko ya nabii huyo alibadilishwa macho yake mwaka 1988 kama nabii Zakaria alivyotabiri, Zakaria3:8-10. Hatua ya pili mwaka 1989 alianza kuongea na Mtakatifu BWANA YESU KRISTO muda wa usiku akiwa amelala na kupokea habari mbalimbali za MUNGU Mtakatifu na kuwajulisha jamaa zake wa karibu. Hatua ya tatu alianza kuongea mwaka 1990, alianza kuongea na MUNGU Mtakatifu muda wote mchana na usiku jambo ambalo liliwashangaza watu wa karibu yake na kuamua kufatilia katika biblia juu ya mabadiliko ya maono hayo biblia inafafanuaje, kama Kumb18:15-22, Malak4:4-6, Math11:2-15, Yoh16:12-15, Math17:10-13 na Yoh1:19-23. Watu wa karibu yake walianza kufuatilia katika biblia na kufahamu kua ni kweli kuhusu mafungu haya yanayo mtambulisha nabii wa MUNGU Mtakatifu na mafungu mengine mengi kama Isaya41:3.
Njia anayotumia kuongea na MUNGU Mtakatifu ni ya kufumba macho, nabii huyu anapofumba macho anaona moja kwa moja juu MBINGUNI na kumuona MUNGU Mtakatifu na watakatifu wote walio juu MBINGUI kama nabii Isaya alivyotabiri Isaya42:18-21. Nabii huyu aliendelea kuongea na MUNGU Mtakatifu na maono hayo yakazoeleka ya kwamba anaona MBINGUNI, duniani na sehemu yoyote ile ambayo MUNGU Mtakatifu anapenda kumuonesha kama vile baharini majini chini ya dunia ambako ndiko makazi ya shetani yaliko. Hivyo watu wakaribu wamezoea wanauliza shida zao mbalimbali na ndoto zao na kupata majibu ya shida zao na tafsiri ya ndoto zao mbalimbali kutoka kwa MUNGU Mtakatifu wa MBINGUNI kupitia kwa Mwonaji wake nabii.
Baada ya maono hayo kuwa wazi kiasi hicho MUNGU Mtakatifu alimuagiza Mwonaji nabii na watu walio karibu yake wajenge kanisa, kanisa lilijengwa mwaka 2000 miyomboni Misugusugu wilaya ya kibaha mkoa wa Pwani Tanzania, ambalo limepokea habari njema ya ufalme wa MBINGUNI kuwa ushuhuda kwa watu wote kama Mtakatifu BWANA YESU KRISTO alivyotabiri katika Math24:14, pia kumekuwa na mafundisho mbalimbali yanayopokelewa kila sabato na nyimbo mpya kutoka MBINGUNI zimepokelewa kutoka kwa MALAIKA GOGBAM muimbaji wa MBINGUNI.
Lengo hasa la MUNGU Mtakatifu kuleta maono haya kwa nabii huyu ni kuwaandaa watu kwamba Mtakatifu BWANA YESU KRISTO yuko karibu kurudi duniani, watu wote wajiandae kuacha dhambi ili waweze kumpokea mawinguni. Hivyo maandalizi unayotakiwa uwenayo mwanadamu sasa, unatakiwa ushike amri kumi kama yeye Mtakatifu BWANA YESU KRISTO alipokuwa hapa duniani Yoh15:9-10, pia lazima uwe msabato kama yeye alivyokuwa msabato Luk4:16-18, Math12:8. Mtakatifu BWANA YESU KRISTO anasisitiza kwamba watakao kwenda MBINGUNI watakwenda kuabudu sabato kama alivyosema katika Biblia Isaya66:22-23. Kwahiyo watu wote karibuni tumsikie Mtakatifu BWANA YESU KRISTO anasema nini kwa wakati huu duniani
MAWASILIANO
Mwonaji/NABII: 0758408348 au 0712838675
Mtumishi wa kiroho: 0752092911
Mzee wa kanisa: 0754993241 au 0715993241
Msijali kuhusu maneno hayo ya watu kuhusu habari za BWANA ila habari nzuri ni kwamba kanisani hapo misugusugu kila siku mimi huwaombea pamoja na mwonaji wa BWANAnatamani siku moja nije nisali na kuisikia sauti ya MUNGU MTAKATIFU moja kwa moja kwa kinywa cha mtumish wake.pia msidhani mko peke yenu tambueni kua BWANA yupo pamoja nanyi na sisi pia tuko pamoja na ninyi .sabato njema MTAKATIFU BWANA YESU KRISTO AWABARIKI SANA Mpkasasa vitabu vya habari njema tunavisoma mimi na wenzangu
 
HABARI NJEMA YA UFALME WA MBINGUNI
Je duniani mna habari kwamba yupo nabii wa MUNGU Mtakatifu? Kama hamna habari basi nabii huyo yupo hapa duniani, na biblia imemuelezea ya kwamba atakuja kutayarisha ujio wa mara ya pili wa Mtakatifu BWANA YESU KRISTO. Nabii huyo ametabiliwa katika biblia hatua mbalimbali. Hatua ya kwanza ya mabadiliko ya nabii huyo alibadilishwa macho yake mwaka 1988 kama nabii Zakaria alivyotabiri, Zakaria3:8-10. Hatua ya pili mwaka 1989 alianza kuongea na Mtakatifu BWANA YESU KRISTO muda wa usiku akiwa amelala na kupokea habari mbalimbali za MUNGU Mtakatifu na kuwajulisha jamaa zake wa karibu. Hatua ya tatu alianza kuongea mwaka 1990, alianza kuongea na MUNGU Mtakatifu muda wote mchana na usiku jambo ambalo liliwashangaza watu wa karibu yake na kuamua kufatilia katika biblia juu ya mabadiliko ya maono hayo biblia inafafanuaje, kama Kumb18:15-22, Malak4:4-6, Math11:2-15, Yoh16:12-15, Math17:10-13 na Yoh1:19-23. Watu wa karibu yake walianza kufuatilia katika biblia na kufahamu kua ni kweli kuhusu mafungu haya yanayo mtambulisha nabii wa MUNGU Mtakatifu na mafungu mengine mengi kama Isaya41:3.
Njia anayotumia kuongea na MUNGU Mtakatifu ni ya kufumba macho, nabii huyu anapofumba macho anaona moja kwa moja juu MBINGUNI na kumuona MUNGU Mtakatifu na watakatifu wote walio juu MBINGUI kama nabii Isaya alivyotabiri Isaya42:18-21. Nabii huyu aliendelea kuongea na MUNGU Mtakatifu na maono hayo yakazoeleka ya kwamba anaona MBINGUNI, duniani na sehemu yoyote ile ambayo MUNGU Mtakatifu anapenda kumuonesha kama vile baharini majini chini ya dunia ambako ndiko makazi ya shetani yaliko. Hivyo watu wakaribu wamezoea wanauliza shida zao mbalimbali na ndoto zao na kupata majibu ya shida zao na tafsiri ya ndoto zao mbalimbali kutoka kwa MUNGU Mtakatifu wa MBINGUNI kupitia kwa Mwonaji wake nabii.
Baada ya maono hayo kuwa wazi kiasi hicho MUNGU Mtakatifu alimuagiza Mwonaji nabii na watu walio karibu yake wajenge kanisa, kanisa lilijengwa mwaka 2000 miyomboni Misugusugu wilaya ya kibaha mkoa wa Pwani Tanzania, ambalo limepokea habari njema ya ufalme wa MBINGUNI kuwa ushuhuda kwa watu wote kama Mtakatifu BWANA YESU KRISTO alivyotabiri katika Math24:14, pia kumekuwa na mafundisho mbalimbali yanayopokelewa kila sabato na nyimbo mpya kutoka MBINGUNI zimepokelewa kutoka kwa MALAIKA GOGBAM muimbaji wa MBINGUNI.
Lengo hasa la MUNGU Mtakatifu kuleta maono haya kwa nabii huyu ni kuwaandaa watu kwamba Mtakatifu BWANA YESU KRISTO yuko karibu kurudi duniani, watu wote wajiandae kuacha dhambi ili waweze kumpokea mawinguni. Hivyo maandalizi unayotakiwa uwenayo mwanadamu sasa, unatakiwa ushike amri kumi kama yeye Mtakatifu BWANA YESU KRISTO alipokuwa hapa duniani Yoh15:9-10, pia lazima uwe msabato kama yeye alivyokuwa msabato Luk4:16-18, Math12:8. Mtakatifu BWANA YESU KRISTO anasisitiza kwamba watakao kwenda MBINGUNI watakwenda kuabudu sabato kama alivyosema katika Biblia Isaya66:22-23. Kwahiyo watu wote karibuni tumsikie Mtakatifu BWANA YESU KRISTO anasema nini kwa wakati huu duniani
MAWASILIANO
Mwonaji/NABII: 0758408348 au 0712838675
Mtumishi wa kiroho: 0752092911
Mzee wa kanisa: 0754993241 au 0715993241
amina mbarikiwe sana tutazidi kuomba ili BWANA atende jinsi apendavyo juu ya neon lake
 
Hugo nabii anaitwa nani, nimfafute ktk Bible maana kusoma kwangu biblia cjawah kukutana na hii.

Anaesubiliwa ni mmoja tu, Mwana wa Mungu Alie Hai Yesu Kristo pekee.

Muogopeni Mungu, mtachomwa moto kwa kupotosha maandiko.
Hamjui mnachanganya watu wasio amini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashukuru Nmekulia na kulelewa Lutheran (KKKT)...mambo ya Dini ilikuwa siri kama Jando system ya ibada ikiwa lurturgia mambo ya kuimba mpaka jasho au vurugu hayakuepo lkn ss hatari.manabii,Mitume kibao yaani vurugu tupu.Hata Lutheran ya sasa imebadilika sasa Minada(Full biashara),Michango kibao inavunja moyo.Naamini Kilichoandikwa na Biblia tu.Mambo sijui ya kupanda mbegu sitaki kusikia
Acha uzwazwa panda mbegu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom