Zote ni biashara za network tu, huna kitu cha kununua kaa kushoto..!Jamani hii iko tofauti sana na hiyo mitandao mnayoifahamu. Anayeishi maeneo ya kimara na au mbezi karibu siku za jnne saa kumi jioni pale Resort kwenye semina. Ni buree.
Duuuh mmekuja mpaka uku?